Makapuku Forum

Mkwe hapo huwa nakukubali sana (ukilo)
 
Number 3, Australian Army daaah mi nawafahm wana wake wa Australia , hawa wao toka miaka ya 1800,huko wali ruhusiwa kwenda jeshini ila kwa sharti moja , wao watakuwa ni manesi tuuu
Lajini baada ya miaka ya 1970 nadhan walianza ki dogo kidogo kuwa eka watt wazuri hawa waingie jeshini na wana piga kaz kama kawa na wana jiremba

Wana jeshi wa sku hiz bhana et mwana jeshi ana make up mweer!!
 
Number 2, Russian Army mi sjajua kwa nini hawa wamekuwa wa pili , ujue wa rusi wenyewe ni wazuriii sana awe mwanajeshi au awe miss , kwa hiyo hao uwa wana enda jeshini kuamsha amsha morali ya jeshi, na sku zote wa rusi wame wa shirikisha sana wana wake kwenye mambo ya vita na kujiunga na majeshi mbali.mbali
 
Number 1, Romanian Army hawa mi skubali kwamba ndo namba moja, ila vyanzo vyangu vina niambia et hawa ndio wana wana wake wenye vutoo zaid kwenye jeshi lao, wakati ukraine ikiwa ni taifa lina lo onekana la ajab ajab huko ulaya, na lililo pitia misukosuko nyingiii, lakin ndo hvo bhana mungu hakunyimi vyote nao wame jikamatia nafas ya kwanza kwa wanawake wenye mvuto, how comes wameongoza mimi shjui, ndio mteembee sasa mkaone wenyewe kama twadanganywa ama neeneeee!!!
 
Cc jimena
 


I will mc u szczesny.. Hiiii... Hiii..
wap ntapata 10 bora mimi.. Unaniacha na nyangema mzee wa kata k..

Cwt"p" come here boss wako anaondoka.
 
So guys thank u , ur the best people ever , toka nilianza hii segment mme i sapot sana nashukuru endeleeni kusapotiana na penda mfike hata 10000k mkiwa pamoja hapa kapuku forum

Kumi kali za mwisho zme letwa kwenu na mwanzilshi wake anaye kwenda ku retire
Szczesny Carrenza de la Cas de la Fuma

Si kaz rahisi hii wakuu , but support yenu na upendo wenu vili nifanya kila sku niumize kichwa na nihangaike hapa kuleta mambo
Kwa herini sana keep t cool keep t real

Top ten is out!!!
 
Tunaheshimu maamuzi yako
Ww Ni miongoni mwa vichwa vyenye faida
Kila la kberi
Tunashukuru kwa yote
.........................................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…