Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ntamfundisha tuHaya ni maneno yatamtoa mtu kwenye mood
Ntamfundisha tuHaya ni maneno yatamtoa mtu kwenye mood
Nakuwa mbaliiiiiUnaweza ukakaa tu unaangalia sunset sio lazma uoge
Wakati ushakufa??Unaweza kuishi polini tu
Na wala hayatakuwa nayo.Kawaida tu, mazungumzo yao hayana madhara
Romantic deathYeah so intimate....![]()
ShululuKwani bitterpie ni me![]()

Hehehe mi pia Niko siriazHamna Pacha nimeongea siriaz ujue..imenigusa nkaanza kukumbuka flashbacks aisee

AaahNtamfundisha tu
Let's do it sooner hiyo itani do me good... maana ni tatizo mjini hapa.Hahaha
Mtera ntaenda kwa sababu swt p needs a gud long vaccation
Ndio uione sasaSikuiona....![]()
DiiihKwamfano hapa nnapoandika mimi
Nakutag kama ifuatavyo Sweetiepie acha ukilazer
Ametangulia kupumzikaHahaha
Thats the way i am
Kuna ndugu yetu akienda bch na mkewe alipotelea kwenye maji
Maji naya heshim hata yakiwa kwenye dishi tuu
![]()
HahahaaAaah
Sdhani![]()
![]()
Yes na uzuri mam jj kakubali ki roho safiLet's do it sooner hiyo itani do me good... maana ni tatizo mjini hapa.
Safi sanaMimi huwa najiombea mwenyewe
Huyu Bitterpie ni nani huyu kwani?Kwani bitterpie ni me![]()
Waoga utawajua tuUko sahihi maji yanavuta haswa ya baharini. Na kama hukuzoea lazma unywe vikombe kwanza kabla hujamasta kuogelea.
Marmaids...Kuna vidudu uwa vina wavuta watu kwenye maji
![]()