....I meant wa KF[emoji125]Sweetapple ni mwingine alinizinguaga kule MMU kipindi nimejoin tu JF akawa anadai eti nimemuibia ID yake...nikamuuliza Pie na Apple ni kitu kimoja? akakosa jibu..badae nikaja KF na Sweetiepie ni mwingine ambae ni mimi usije changanya hawa watu ndugu.
CC: Werrason mutu ya kongo maana naona ushasema Epopai hapo nimeelewa.
Namanisha kuoza sio kuzoea....yani dogo analeta utukutu unamkanya kwa maneno?! haiwezekani! atayazoea...unampa na stick mbili tatu huku unamwambia kosa lake na asirudie tena.Sasa we unataka mwanao amzoee nani[emoji15]
Na mimi ulvo kuja nka jua Aple ndo kajaSweetapple ni mwingine alinizinguaga kule MMU kipindi nimejoin tu JF akawa anadai eti nimemuibia ID yake...nikamuuliza Pie na Apple ni kitu kimoja? akakosa jibu..badae nikaja KF na Sweetiepie ni mwingine ambae ni mimi usije changanya hawa watu ndugu.
CC: Werrason mutu ya kongo maana naona ushasema Epopai hapo nimeelewa.
HahahaEndelea kujifariji
We fumba macho uwombeweMlokole katika ubora wake
Umenichoka mchana kweupe...akati juzi tu hapa bomu limeripuka hadi hospitaliniNenda Syria pacha ukarelax kidogo
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Nani alikuruhusu trainee kutongoza staff???Mi ndo nme kuja after nyie
Mi naingia hapa jf wewe tayar una jina kubwa
Nimeweka ngoma za Oldies nkajua mdau utakuja nkaona hutokeiNipo ndugu yangu.
Huwa nakuja mida ambayo ninyi mnakuwa mmelala.
Sawa kabisaNamanisha kuoza sio kuzoea....yani dogo analeta utukutu unamkanya kwa maneno?! haiwezekani! atayazoea...unampa na stick mbili tatu huku unamwambia kosa lake na asirudie tena.
Famous sana huyoWhat about mfalme wa pop wacko jacko
Hii gia yako nimeipendaNafanya huduma ya maombi kwa mutu moya moya, wewe unatakiwa ya usiku
Nimeweka ngoma za Oldies nkajua mdau utakuja nkaona hutokei
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nani alikuruhusu trainee kutongoza staff???
Hata kidogo mimi hapanaKidogo tuu, then unabembelezwa af unapigwa ile nyengine[emoji85]
Hiyo ni namba ngapi?Hii gia yako nimeipenda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hebu acha uogaUmenichoka mchana kweupe...akati juzi tu hapa bomu limeripuka hadi hospitalini
Uki....[emoji23][emoji23]Nachek mech uki nachat
So you are younger than..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Its like jlo katoka na dancer wake
[emoji125] [emoji100]