Ni mtu mstaarabu possible, baba yangu ameishi na mama yangu zaid ya miaka 30,sja wahi ona wame pigana
Yet mama yangu sku wahi ona aki mprovoke baba pia
Na laani kitendo cha mwanaume kupiga mwanamke, lakin nna laani wanawake kufikiri wana immunity ya kuto pigwa na ku wa provoke wanaume, hapo uki chokoza kupigwa kwa kweli ni njia nzuri kabsa ya kuekana sawa