Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Nakusubiri uniambie [emoji276][emoji276]
Ujue....
Eb kwanza nimalze chai yangu
Nakusubiri uniambie [emoji276][emoji276]
Ujue....
Eb kwanza nimalze chai yangu
Hilo nalo neno...i guess am a bad girl...[emoji22][emoji22][emoji22]Kwani mlishawahi kuwa pamoja???
We si ulikuwa mharibifu tu?
Mi sikubaliani na haya maelezoN jinsi unavo behave ndio na mtu ata ku treat na wewe hvo
Sasa kila sku una mchokoza hapo ngumi huezi epuka mama
[emoji109][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] uko sawa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]View attachment 388700 Szny: Shikamoo sweet binamu...vipi sasa ile ishu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Weka pichaCc: Jimena...
Vuguvugu linaanzia hapa tena...mi simooHupendi au?
Sa ndo uombe kwa binamu?Itaniponya na mafua haya sasa...huku imeisha.
Tatizo wanawake wazuri nao huwindwa sana.View attachment 388686role model wangu mwingine, uyu uwa ana semwa kila sku ila ana waambia watu ni mke wangu peke yangu nyie msijali, wala msiumie i luv her
Watu na bebi zaoBinam kaonyesha msimamo mkali hadi rahaa
Hapana ndo maana hata kuna kuuaKupiga hakuna excuses
Sina jinsi...[emoji15][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]Usa river
[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]Hilo nalo neno...i guess am a bad girl...[emoji22][emoji22][emoji22]
DaaahHilo nalo neno...i guess am a bad girl...[emoji22][emoji22][emoji22]
Aaah wapi, Leo tumeshamaliza.... Kwa sasa ni mahaba moto motoVuguvugu linaanzia hapa tena...mi simoo
[emoji22][emoji22]
Not for meHapana ndo maana hata kuna kuua
Na kuua bila kukisudia saa nyngne unakuwa umekuwa comfronted
Uwe una kubaliana kwamba vile unavo mtendea mtu ndo reaction yake inavo kuwaMi sikubaliani na haya maelezo