Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Toka mwaka 36 upo utaacha kuzeeka??Hahahaah
Aaah
Uzee huu
Toka mwaka 36 upo utaacha kuzeeka??Hahahaah
Aaah
Uzee huu
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37][emoji22]
Sasa apo una zungumzia mahusiano ya stareheEehee wanaume culture yenu si mnavutiwaga kwanza na physical appearance nyie au nature hiyo imekufa tayari sasa mnapenda uzuri wa ndani kwanza..duuh
Hapana kwakweliHahaha
Kila kesi ina pande mbili mi nawaambieni, kuna time mtu ana kereka ana jikuta mkono usha nyanyuka [emoji23]
HahahaHii kapo kiboko.
Kuna kitu hakipo sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....una maananisha nini???....huu ni UCHOKOZI
HahahahaAnaanzaje sasa kuinua mikono?? Mi nakubali kupigwa busu tu sio tofauti na hapo
Weka picha
....kwanini umeongelea mwonekano???[emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walaa!!
Kuna USA ya Arusha pia lakiniHahaha
Hilo swali jaman !!![emoji23]
Hahaha....kwanini umeongelea mwonekano???[emoji15]
Huyu nae ana underground [emoji28][emoji28][emoji28]So roho akijaa msumari unajikunja eee
[emoji23] i kno.Kuna USA ya Arusha pia lakini
Kuna kengine umisahau[emoji1]Anaanzaje sasa kuinua mikono?? Mi nakubali kupigwa busu tu sio tofauti na hapo
iiih we kupigwa tu? mi hata mtu akionesha dalili ya kunidharau au hata kunitukana...mkataba nauvunja fasta sana wala siumii.Mi sipendi kupigwa. Yani mtu akinipiga basi na uhusiano nao utakuwa umeisha
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ngoja tuone
Ndio...[emoji28][emoji28]Ndio. Usiniambie ulifikiri ni USA river?
Sio mzoefu wa mambo huyuHuyu nae ana underground [emoji28][emoji28][emoji28]
Umiogopa kusema kweliHahaha
Na mtetea role model wangu
Suluhisho ni kupiga tu?!!Aaah
Na yeye hakutaka kumpiga
Ila sasa alichokozwa angefanyaje!!