Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hahahaha![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna siku nili iponda noa ya mtu fulani hvi kumbe aliniskia
Watu wana cheeeka naona raha mwenyewe
Hahaha
Ali mind ile mbaya
Hahahaha![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna siku nili iponda noa ya mtu fulani hvi kumbe aliniskia
Watu wana cheeeka naona raha mwenyewe
Hahaha
Ali mind ile mbaya
Hii game naikumbuka! Mashabiki wengi wa Liverpool walishakata tamaa na kujiondokea1973 - Dietmar Hamann anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ndiye shujaa aliyebadilisha mchezo baada ya kuingia akitokea Sub, wakati Liverpool ilipokuwa nyuma kwa goli 3 bila katika fainali ya Uefa 2005 dhidi ya Ac Milan.
Kuingia kwake kulibadilisha mchezo na kufanya Liverpool irudishe magoli yote na kushinda fainali ile.
Sifa kwa mola wangu maulanaa
Kama vile PM ilivyo kwangu.Aaaah
This is too much for mee
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanywaji uta wajua tuu
![]()
![]()

Ngoja tuoneSi ndo wana siasa wenyewe hao
![]()
HBD muntari1984 - Sulley Muntari anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Ghana.
Sio kwamba hakuna malipo. Hakupo kabisaNa wapi hakuna malipo
SanteeePoyee
AaahKama vile PM ilivyo kwangu.
What's goes around comes around
Muntu ya kongo kuna kitu kinarindima moyoni mwako na hii JJ...hebu fungukapo basii
DuuuhEthiopia hiyo
We nae ni nomaaSahizi ndo unasalimia wakati tumshaamka masaa 12 yaliyopita
Acha waende tu maana hamna namna sasa....ni mashujaa
Pole bae ake...Unaona nnavo fanyiwa hapo
Swt p
Me nkajua ni kwenye cm yangu tu! Ila niki sign off haisumbui sana!!!Sept 1 ifike tu jamani maana application imekuwa na kwikwi za mara kwa mara sana