Makapuku Forum

Makapuku Forum

1928 - Mangosuthu Buthelezi anazaliwa.

Ni kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini.

Aliwahi kukaimu Urais wa Nchi hiyo mara 22 katika Uongozi wa Mandela na Thabo Mbeki.

Yaani alikuwa akiachiwa nchi pindi Rais akienda nje ya Nchi.

Ni sawa na Mbowe aachiwe Nchi na Magu akienda ziara ya nje ya Nchi. Hapa kwetu haiwezekani na haitokaa itokee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom