Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,321 Mussolin5 said: Asante kwa magazeti. Click to expand... Karibu mwenyekiti..... Leo nakuja mbweni kula samaki
Mussolin5 said: Asante kwa magazeti. Click to expand... Karibu mwenyekiti..... Leo nakuja mbweni kula samaki
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,251 Aug 27, 2016 #90,322 1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli. Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 27, 2016 #90,323 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia. Click to expand... Huu mji uko nchi gani
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia. Click to expand... Huu mji uko nchi gani
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,251 Aug 27, 2016 #90,324 1985 - Serikali ya Nigeria yapinduliwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Nchi hiyo, Jenerali Ibrahim Babangida.
1985 - Serikali ya Nigeria yapinduliwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Nchi hiyo, Jenerali Ibrahim Babangida.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 27, 2016 #90,325 Jimena said: Ye ameweka 10 zilizotisha labda Korea ni ya 12 Click to expand... Ana swali za kizushi daily .......
Jimena said: Ye ameweka 10 zilizotisha labda Korea ni ya 12 Click to expand... Ana swali za kizushi daily .......
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,326 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia. Click to expand... Kitabu kina version kama 10,000 hivii
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia. Click to expand... Kitabu kina version kama 10,000 hivii
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,224 Reaction score 39,937 Aug 27, 2016 #90,327 Jimena said: Inaanzaje kuninyima amani kwa mfano?? Binamu haendi popote kule small hauz anaendaga kujifariji tu nikimkazia, na toka ajue kuwa chai anayopewa inavyopikwa ameongeza mapenzi kwa familia View attachment 388492 Click to expand...
Jimena said: Inaanzaje kuninyima amani kwa mfano?? Binamu haendi popote kule small hauz anaendaga kujifariji tu nikimkazia, na toka ajue kuwa chai anayopewa inavyopikwa ameongeza mapenzi kwa familia View attachment 388492 Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,328 Mussolin5 said: 1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli. Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo. Click to expand... Ndjamena huko Kanchi hakana hata mvuto
Mussolin5 said: 1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli. Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo. Click to expand... Ndjamena huko Kanchi hakana hata mvuto
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,251 Aug 27, 2016 #90,329 1991 - Moldova yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR. Ilikuwa ni muendelezo wa Nchi mbalimbali kujitoa ndani ya Ussr baada ya anguko la Ujamaa.
1991 - Moldova yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR. Ilikuwa ni muendelezo wa Nchi mbalimbali kujitoa ndani ya Ussr baada ya anguko la Ujamaa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,330 shululu said: Huu mji uko nchi gani Click to expand... Labda kwa Madiba
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 27, 2016 #90,331 Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia. Click to expand... Mfia dini .......
Mussolin5 said: Leo katika Historia: 1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia. Click to expand... Mfia dini .......
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,332 Mussolin5 said: 1985 - Serikali ya Nigeria yapinduliwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Nchi hiyo, Jenerali Ibrahim Babangida. Click to expand... Mi wanaijeria nawapendea majina yao Ibrahim Babangida, Olusegun Obasanjo mdomoni yanavutia mnoo
Mussolin5 said: 1985 - Serikali ya Nigeria yapinduliwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Nchi hiyo, Jenerali Ibrahim Babangida. Click to expand... Mi wanaijeria nawapendea majina yao Ibrahim Babangida, Olusegun Obasanjo mdomoni yanavutia mnoo
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,251 Aug 27, 2016 #90,333 1916 - Gordon Bashford anazaliwa. Ni mmoja wa waasisi wa madari ya Range Rover.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,334 werrason said: Click to expand...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,920 Reaction score 104,205 Aug 27, 2016 #90,335 Jimena said: Ye ameweka 10 zilizotisha labda Korea ni ya 12 Click to expand... Hahaa.. Labda.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 27, 2016 #90,336 Mussolin5 said: 1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli. Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo. Click to expand... African Polifix ......
Mussolin5 said: 1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli. Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo. Click to expand... African Polifix ......
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,337 Mussolin5 said: 1991 - Moldova yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR. Ilikuwa ni muendelezo wa Nchi mbalimbali kujitoa ndani ya Ussr baada ya anguko la Ujamaa. Click to expand... Ujamaa nao miyeyusho tu
Mussolin5 said: 1991 - Moldova yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR. Ilikuwa ni muendelezo wa Nchi mbalimbali kujitoa ndani ya Ussr baada ya anguko la Ujamaa. Click to expand... Ujamaa nao miyeyusho tu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 27, 2016 #90,338 Jimena said: Mi wanaijeria nawapendea majina yao Ibrahim Babangida, Olusegun Obasanjo mdomoni yanavutia mnoo Click to expand... Steven keshi
Jimena said: Mi wanaijeria nawapendea majina yao Ibrahim Babangida, Olusegun Obasanjo mdomoni yanavutia mnoo Click to expand... Steven keshi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #90,339 Bitoz said: View attachment 388512View attachment 388513View attachment 388514 Mfia dini ....... Click to expand... Anameza mambo hapo
Bitoz said: View attachment 388512View attachment 388513View attachment 388514 Mfia dini ....... Click to expand... Anameza mambo hapo
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #90,340 shululu said: Morning, nawatakieni jumamosi njema Click to expand... Mornin How u