Hii inatuhusu cuzzo4, Ndoa na binamu yako-UtahView attachment 388304hurubusiwi kumuoa au kuolewa na binamu yako huko jimbo la Utah, na baada ya watu kupigania sana sheria iangaliwe upya , sheria ilipitiwa na kuruhusu mabinamu wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea tuu ndio waweza kuona, kwa kuwa hao wana jitambua kwenye maamuzi yao
Sasa unaunga mkono au huungi mnono?1/Naunga mkono
2/Hapana kaka angu hawezi chukua demu wangu ....tutauana
Sipendi heshima za kimbuzi
.......
Hehehehehe hizi sheria nyingine vituko vitupu3, Kufariki Bungeni-UingerezaView attachment 388306waheshimiwa wabunge huko uibgereza hawaruhusiwi kufariki ndani ya jengo la bunge, sababu hasa haijulikanj lakini inadaiwa kwao bunge ni mahala patukufu na ukifia hapo lazima msiba wako uwe wa kitaifa, na sasa ndio maana mbunge yyte akionesha dalili zozote zszo nzuri ana tolewa haraka na kupewa huduma ya Afya au akafie huko nje ikiwezekana
Hii ya chakula wanalipa tu ila kuhusu watoto kwenye gari naona wanazingatia.2. Malipo ya chakula- DenmarkView attachment 388307sheria ya ulaji huko Denmark inamtaka mteja yeyote wa chakula kuto mlipa muuzaji mpaka pale (kwa hisia zake mwenyewe mlaji) atakapo ona ameshiba na ana uhakika hana haja ya kuendelea kula, yaan nna imagen hii sheria ingekuwepo kwetu Iringa huko hahaha
2. Ipo sheria inayo wataka wana nchi wa Denmark kuto endesha gari ikiwa mtoto amelala na inatakiwa dereva yeyote kuto ondoa gari kabla haja angalia kama kuna mtoto aliye lala
Sanaa mi mwenyewe chamoto nimekiona kwakweliApplication inasumbua sana watu JF
Hapa ukikosea kuchagua unajuta kuzaliwa1. Sheria ya Talaka-UfilipinoView attachment 388308 ni kosa kisheria kuoena talaka baada ya kuwa mmefunga ndoa ya halali, huko ukisha oa umeoa serikali hai entertain kabsa masuala ya kuomba talaka na waka haina huduma hiyo, ni sehemu mbili tuu duniani hazofanyi hvo yaani Vaticani na Ufilipino, lakini wakati Vaticani wao Talaka inaweza tolewa lakin kwa process ndefu
Ufilipino kwa wakristo woote talaka haitolewi kwa namna yyte ile
Na kwa waislam inatolewa kwa sababu za msingi na kwa process ndefu sana mpaka ikamilike
Asante sana kwa 10 kubwa binamuJaman eee nawatakia weekend njema na Mungu awabariki wootee
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza jr aka field marshal
Adiouss
Amogoooou
Hivi hizi picha wanapigwa huko police au wenyewe tu wanajaribu kufikisha ujumbe??? Maana sielewi
Mi wala sielewi..Hii itakuwa kampeni ya polis
Kwani hao wote wamekamatwa??Jifotoe halafu kapost FB au WhatsApp ukione
Mi akaunti zangu natumia kusoma tu
Nchi imeijaa udikteta nowadays
..........
HahahaHuko sikanyagi.
Anao alipata kuonesha kuvunja ungo mapemaMiaka 8hana wazazi?
HahahaaaaaSasa sisi vibonge twende wapi kama ni hivyo...?! waifikirie mara mbili mbili hiyo sheria
HahahaCc szczesny
Cc jimena
Sija fuatilia ki historiaIlishawahi kutokea?
Mkuu mbona siwaelewi awa jamaa
Uyu dada ali mcost mtatiro sna hamu naye