Makapuku Forum

9, sheria ya ndoa-Saudi Arabia sheria ya ndoa haitaji umri wa mwana mke kuolewa huko Saudi Arabia, kwa hiyo mtoto wa kike Saudi anaeza olewa mda wowote ilimradi kaonesha dalili za kuvunja ungo, nadhan wanatumia njia za kitamaduni za toka kipindi hiko,
Mfano mwaka jana mahakama ilishndwa kumpa haki ya talaka mtoto mwenye miaka 8 aliye olewa na mzee mwenye miaka 55, kwani alitumia kigezo cha kupishana umri tuu
 
Kupeana Busu kwenye gari lilonalo tembea-Italy ni kosa kupeana mabusu kwenye gari iliyo katika mwendo, whether mna endsha au mna endesgwa huko Italy na kuna faini kubwa tuu ya Euro karibu 415 kwa kifanya hivo, kuweni makini mkienda na wapenzi wenu huko Italy
 
Hii sheria inatuhusu sana huku
 
 
7, wanawake kuendesha gari -Saudi ArabiaNi marufuku kwa mwana mke kuendesga gari saudi, na mwana mke akwa kwenye gari lazma awe na guardia(msimamizi) ambaye ni mwanaume, ni bora hata aendeshe mtoto lakin awe wa kiume na si mwanamke
Huko naskia hata maduka ya nguo za kike wanauza wana ume, na mwana mke hutoki bila guardian wako
 
Hii ni kali sasa
 
Hapo upo high way ya Siena to Milan, lazima upige busu, hata bams hamna
 
Mbona wamewanyima watu uhuru wao
 
Naona wanataka kukomesha u mani fongo...Arabuni, mana hiyo sheria ikiletwa huku sipati picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…