Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Pouwa dictator, naona kama kawa kama dawaChalii ya Kongo za siku mingi
Brazil kumbe ilikuwa na koloni!!!Leo katika Historia:
1825 - Uruguay yajitangazia Uhuru wake toka kwa Brazil.
Wanaadhimisha miaka 191 ya Uhuru wao.
Yap, walikuwa vizuri sana.Brazil kumbe ilikuwa na koloni!!!
Tupogo...Pouwa dictator, naona kama kawa kama dawa
Bonge la wimbo!!!....ila sina mpango wa kufa-by Mr. Ebbo-R.I.P.2001 - Aaliyah afariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji hodari wa muziki, Dansa, msanii wa filamu toka nchini Marekani.
Alishiriki katika filamu ya Romeo must die ya Jet Lee.
Siku kama ya leo Dunia ilimpoteza mrembo huyo akiwa na miaka 22 tu, baada ya kutokea kwa ajali ya ndege huko Bahamas.
Apumzike kwa amani, nilikuwa namkubali sana.
Dedication Song: See U When U get There by Coolio.
Unitag au kuni-mention asee2009 - Senator Ted Kennedy anafariki Dunia.
Alikuwa ni Senator wa Massachusetts.
Alikuwa ni mdogo wa Mwisho wa aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy.
Ni miongoni mwa wanafamilia wachache wa Familia ya Kennedy kufa kifo cha kawaida.
Nitawaletea Laana/ Mkosi wa Familia ya Kennedy " The Kennedy Curse ".
Wengi wakiamini vifo vya ajabu vilivyoikumba baadhi ya wanafamilia wa Familia hiyo ni Mkosi au Laana.