Dikteta yupo vizuri kichwani inaonyesha ni msomi & mpekenyuzi na "leo ktk historia " anaandika kijanja sana
Binafsi nimehamasika kufuatilia ishu nyingi kila siku anapozipost mfano issue ya John Kennedy ,CIA n.k
.......
Mi uwa namkubali bwana dikteta, kwenye polifix yuko fresh, sku nyngne had MMU una mkuta
Yet haja wahi kuonekana aki tu diss ndugu zake hapa, yaan fureshiii