Ndiyo sababu hiyoNilikuwa najiuliza Kobe Bryant kwanini hupenda kuvaa jezi namba 24 na wakati mwingine jezi namba 8 wakati akicheza Los Angeles Lakers.
Kumbe ni tarehe 24 mwezi wa 8 ni siku yake huko jijini California.
Weka pichaila hamkuti Mjomba wangu
HahahahaKawaulize.....tena wangekomaa now Mchawi angekuwa out Top Ten
Kawaida binadamu tuna asili ya wivu & roho ya kwanini hivyo palipo na wengi hapakosekani wazee wa wivu mfn yule aliyekuwa akijiita Kapuku mkongwe/mzee alisepa kimyamimya baada ya kuona kuna madogo wanamporomosha kwenye ile list so akaonekana kuchukia na kusepa bila kuaga now anahangaika kupiga sfori chitchat hapahapa
Sio wote waliofurahia thread kusonga mbele
...............
Hakuna mheshimiwa humuAsante His Excellent
Bitoz ulikuwa unavaa jezi no ngapiNdo ukweli wenyewe
Halafu Beckham akiwa LA Galaxy alivaa # 32 ikiwa ni kinyume cha 23 ambayo ni # aligokuwa akivaa Jordan
...........
Lugha za bitoz hizo, huwa hakoseiMadtaa
.....then life goes onHahahaha
A rest in ertenal peace
Binadamu hukutana na kuachana
Chandimu hakuna jezi ...ni kucheza kifua wazi tuBitoz ulikuwa unavaa jezi no ngapi
Nimecheka sana hii picha
DEPAPAI mbona yupo vizuri tuChandimu hakuna jezi ...ni kucheza kifua wazi tu
Ila jezi yangu ya Man Utd nilikuwa naprint "BITOZ # 7 Lkn siku hizi imevamiwa anavaa DEPAPAI
...........
Weka picha
DEPAPAI mbona yupo vizuri tu
Informer wa UKUTA
Yeaaaaah!.....then life goes on
..............
HahahaTatizo waafrika tuna matumbo makubwa(wabinafsi/mafisadi)
Huku wanaitafuna tu nchi huduma muhimu hakuna samtaimu nikiendaga kijijini siamini....miaka 50+ ya uhuru barabara full vumbi,umeme majanga,zahanati uchwara,no pembejeo
Duh acha tu
............
Cha kufurahisha ....wengine wapya wakali na wajanja km Bitterpie wanachukua nafasi zaoYeaaaaah!
Tena mwenye pembe na kwatoHahaha
Sisi alo turoga ata kuwa shetani mwenyewe
Cc sweetiepieCha kufurahisha ....wengine wapya wakali na wajanja km Bitterpie wanachukua nafasi zao
Sasa ht kuwakumbuka kazi
............