Thanks mpenzi binamu, hongera kwa ku tupia hiyo namba 89k
Kwa hiyo alikuachia
Basi mengine ntakuhadithiaHahaha
Si sanaa
HahahaHakika mtu akila samaki huyu ana moyo mashine
HahahaaAisee inafurahisha samaki mdogo kama huyo akameza nyoma wa 84cm ni kali hiyoo
Mi silimmmh
Mi sja jua hata ila nkiletewa ana liwa tuu huyo
Leo nime wakumbuka walio tutangulia mbele za haki!Asante kwa top 10 cuzzo.
Naona Leo umeaga kwa mwendo kasi
HahahahaAnaanzaje sasa kuniachia kwa mfano??? Timing tu
Mi ndio Jimena Jimenes de La Fuma au umenisahau??
Na wapumzike kwa amaniLeo nime wakumbuka walio tutangulia mbele za haki!
AaaahMi sili
HahahahaHahaha
Si Ana tumbo mashine!!?
Sa kumbe vipi? Hivi pipo leo wako busy na nini??Hahahaha
Nakuaminia
Hapana hata kwenye ushemeji pia siliAaaah
Kwenye ushemeji hainaga, unakula tuu
Ila samaki wanakushinda
Mweer!!
Asante kwa top ten...Jaman thanks alot, mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Kabla sja ondoka niseme nime wakumbuka watu wafuatao
Werrasom
Briz
Hata hawa japo waliondoka muda mrefu
Liz
Th name
Amazing
Manuu
Emmyguy
Sumbai
Linamo
Hata
Quigley na shululu kidogo(japo hata leo walikuepo)
"In the end we will remember not tha words of our enemies, but the silence of our friends"
Martin Ruther King jr.
Thanks.
Una kesi ya kujibuAmeamka salama
Kafanana na wwMi nimeona kama ana sura ya paka, kwakweli huyu fish ni paka mtupu
Na hapo ni ndani ya majiNumber 10,Roughback Batfish View attachment 387048haha ujue wanao zama baharini huwa wana fia mengi sio kunywa maji tuu imagem una ona kitu kama hii, sasa huyu ni samaki ambaye saa nyingne huitwa anglerfish, the Ogcocephalus na ni jamii ya batfish ambao hukua nchi 4, yaan sentimita 10, na wana sema hutoa ute ambao huvutia samaki wengne wadogo wadogo na huwa ina wa shika na inawala
Number 9, Northern Stargazer View attachment 387052huyu ni ainanya samaki anaye patikana huko marekani na huwa na urefu wa nchi takrobani 30, yeye huwa ana patikana hata futi 120,chini ya bahari na hupenda kujificha kwenye mchanga ili akamate mawindo, anapo taga mayai yake huya acha kwenye kina kifupi na visamaki mtoto vikisha zaliwa huingia navo chini ya baharo kuanza maisha huko
Hakuna kitu kisicho liwa DunianiAnaliwa??
Karibu ihusikeNakula fasta kisha naja. Karibuni