Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Seriously hii nchi ndio naifahamu leo! nadhani ni kisiwa4. FIJIView attachment 386585 Fiji , ni watu wa chche sana wana ijua nchi hii, lakini iko bara ocenia jiran na Austrlia na Newzealand wao wako mbali na dunia sasa imani zilifikaje huko!!? Kuna wa mishenari wa ki methodist walipeleka ukristo huko na watu wengi wa huko na dini zinazo fuatia kwa karibu ni , Assemblies of God, wa Sabato (SDA), na wakatoliki(RC), Asilimia 93 ya watu wa Fiji wana shiriki mambo ya dini kikamilifu
4. FIJIView attachment 386585 Fiji , ni watu wa chche sana wana ijua nchi hii, lakini iko bara ocenia jiran na Austrlia na Newzealand wao wako mbali na dunia sasa imani zilifikaje huko!!? Kuna wa mishenari wa ki methodist walipeleka ukristo huko na watu wengi wa huko na dini zinazo fuatia kwa karibu ni , Assemblies of God, wa Sabato (SDA), na wakatoliki(RC), Asilimia 93 ya watu wa Fiji wana shiriki mambo ya dini kikamilifu
Inaonyesha wako mbali sana hata na teknolojia... maisha ya country yana raha yake piaView attachment 386589View attachment 386590View attachment 386591
Nchi ndogo km mkoa wa Dar
.......
Dunia ni kijijiInaonyesha wako mbali sana hata na teknolojia... maisha ya country yana raha yake pia
2.NigeriaView attachment 386595nilipo leta list yangu wakati wakristo wako asilimia 50% na waislam asilimia 48% ni nchi ambayo inadhaniwa pia kuwa na imani za kichawi sana kulko zote dunian lakin ndo hvo , wananchi wake asilimia karbu 93 wana jishughulisha kikamilifu na masuala ya kidini,
Wa naija nyie woote mna wajua sina haja ya ku waongelea sana
Naskia uchawi uliokomaa wanaupataga Naijeria....2.NigeriaView attachment 386595nilipo leta list yangu wakati wakristo wako asilimia 50% na waislam asilimia 48% ni nchi ambayo inadhaniwa pia kuwa na imani za kichawi sana kulko zote dunian lakin ndo hvo , wananchi wake asilimia karbu 93 wana jishughulisha kikamilifu na masuala ya kidini,
Wa naija nyie woote mna wajua sina haja ya ku waongelea sana
3, ArmeniaView attachment 386588 hii ni moja ya nchi zilizo rudi kwa kasi kwenye masuala ya dini mara baada ya kuvunjika kwa Imoja wa nchi za ki soviet (USSR) miaka ya 1990 huko, historia inasema ufalne wa Armenia, ulikuwa ndo nchi ya kwanza kujutangaza kama nchi ya kirsito mnamo mwaka 301 AD na historia inasema kuwa kanisa la Armenia likianzishwa na Thadeo ba Batholomeo ambao walikuwa ni wanafunzi wa Yesu, watu wana dai kwanza karbu asilimia 93 ni wanadini wazuri, pia wana sema ukiona watu kama waislam au wahindu ni wahamiaj tuu
Ndiyo maana yakeKwahiyo Thadeo nae itakuwa alikuwa mu Armenia au?
Ondoa shaka...Daaaah
Leo nlikuwa na wageni hapa so ndo maana mna ona zna kuja kwa kuotea otea tuuu
Heheheh
Am so sory
Ita kuwa kwani yeye na briz fongo walikuwa wana plot somethingAmeenda nyumba ndogo nini!
2.NigeriaView attachment 386595nilipo leta list yangu wakati wakristo wako asilimia 50% na waislam asilimia 48% ni nchi ambayo inadhaniwa pia kuwa na imani za kichawi sana kulko zote dunian lakin ndo hvo , wananchi wake asilimia karbu 93 wana jishughulisha kikamilifu na masuala ya kidini,
Wa naija nyie woote mna wajua sina haja ya ku waongelea sana
HahahaSawa, japo watu hawapo.
HahahaKenya wameizidi Venezuela, wako juu