Huyo Njonjo ndiyo alizuia ndege zote Kenya, siku jumuiya ilipovunjika, Nyerere akachezwa machale naye akazuiya meri zote zilizokuwa Tanzania hakuna kuondoka na ndege zilizokuwepo, japo nyingi zilikuwa upande wa Kenya, Uganda wao walibakiwa na vichwa vya treni na mabehewa machache, mengi yalikuwa Tanzania