Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
hahaha....sio sana katibu wangu.Mwenyekiti una kipaji cha hali ya juu
hahaha....sio sana katibu wangu.Mwenyekiti una kipaji cha hali ya juu
Huu ukweli hakuna ambae anataka kuusikiaHata sasa imeshasanda sema wanaona aibu
Why so?Kuna watu walitaka kuzichapa chanel ten
TunalindanaNa sijui kwanini ukaguzi haujapita huko majeshini?
Weka picha
Angalia chanel ten, ucheke watu wanavyotoana roho
kwenye kipindi ganiKuna watu walitaka kuzichapa chanel ten
Hivi ulikuwa wapi siku zote hizo ndo unaonekana Leo??Unataka kuniambia msemo wa akili nywele umechukua nafasi...
Mie namuunga mkono
Hahahaha[emoji23][emoji23], na nimesikia wanaume wa Dar wamejipanga kujibu zile mesej zoote za wanaume wa Mkoa.Briz havamiwi na panya road ye sio mwanaume wa Dar
Kisa???Kuna watu walitaka kuzichapa chanel ten
Kweli kabisaMule mule uongo!!?....[emoji38][emoji6][emoji16]
We nae hungalii habari...ila mpira bwanaa weeee[emoji16]Why so?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
..........
Vyeti vya nini sasa ? Huku Mabibo watoto kibao wa wajeda kule Mabibo Jeshini wamefoji vyeti wapo jeshini kwa vyeti vya ndugu
Sio kwa mkwara huu
Timu Lipumba na timu CUFKisa???
Mada motokwenye kipindi gani
Nipo mbali na tiiviiAngalia chanel ten, ucheke watu wanavyotoana roho
Hatukumchagua kwa bahati mbayaNdio maana akawa mwenyekiti
Ndugu ake Jimena
Hebu weka pichahahaha....sio sana katibu wangu.