Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hata sasa imeshasanda sema wanaona aibuMpaka Jumanne ijayo serikali itanyoosha mikono
Na sijui kwanini ukaguzi haujapita huko majeshini?Wana vyeti vya ndugu zao
![]()
![]()
![]()
...........
Sawa mwalimu wa Jogi.
Mimi ninavyojua huko haiwezekani wanaogopa kuzalisha majambazi vilevile kazi ya kutumia nguvu sio elimu labda maofisa tuNa sijui kwanini ukaguzi haujapita huko majeshini?
Huu sasa uchocheziSisi tunamfahamu Ronaldo ni mmoja tu.
Ronaldo Luis Nazario De lima.
Woyooooooooooooooooo
Unataka kuniambia msemo wa akili nywele umechukua nafasi...
Mwenyekiti una kipaji cha hali ya juuForm Four Failures Unity ( FFFU )
N'jomba
Weka pichaAfe Ng'ombe, afe Mmasai ukuta lazima uwepo.
How I wishMpaka Jumanne ijayo serikali itanyoosha mikono
Ndo maana yake....najua ww ni ArsayNO na Team Nessi.....simzunvumzii CR7Unataka kuniambia msemo wa akili nywele umechukua nafasi...
Mie namuunga mkono
Kweli ni kazi ya kutumia nguvu mkuuMimi ninavyojua huko haiwezekani wanaogopa kuzalisha majambazi vilevile kazi ya kutumia nguvu sio elimu labda maofisa tu
...........
Ndio maana akawa mwenyekitiMwenyekiti una kipaji cha hali ya juu
Ndio nimeona..nimecheka sana leo!!Kuna watu walitaka kuzichapa chanel ten