Makapuku Forum

Number 6, Patrick Deuel, kg 285 alipata kuzaliwa March 28, 1962 naye aliwahi oata kuwa mtu mzito kuliko wote duniani kwani aliwagi fikisha kilo 500 na aka andaliwa ddocumentary “Half Ton Man” yaan *mtu nusu tani" ambayo naye alioneshwa , kwa kuwa alinenepa sana ilibidi chumba chake kivunjwe ili aweze kutolewa maana alkuwa hatoshi, lakin kwa msaada wa diet, na oparesheni ya kuondoa nyama uzembe alifanikiwa kupunguza zaid ya kilo 300 na alipo ishia ndo hapo alipo
 
Number 5, Donna Simpson, kg 301 huyu yeye alipenda kabsa kuwa mnene na alitaka afikisge at least kilo 500 ili awe mtu mnebe kulko woote duniani hapo ndo hvoo, alijikuta ana ishia apo, na alifungua website yake ambayo watu wali mlipa na yeye akiwaburudisha kwa kula msosi mwingiii, then alifanikiwa kuwa mwana mke mnene kuliko woite aliye weza kujifungua, na akioata mtt yake na hvo kuingia kwenye vitabu vya rekodi vya Guinnes kama kawa, ila skuiz nme ambiwa ana pungua pungua kwani ana taka amlee mtt wake
Nikienda kumcheki ntawapa info
 
Number 4. Terri Smith, kg, 350 hahaa huyu alikuwa mtu mnene wa kawaida kwani akiwa na miaka 20 alikuwa ana kilo kama 90 hadi 100 hapo, lakin amejikuta ana kuwa mnene bila breki na ana shikiria rekodi ya mtu wa kwanza kuwa mnene zaid kwa kipondi kifupi zaid duniani
Sasa ana miaka kama 55 hvi na ana ishi na mumewe mwenye miaka kama 50 na madokta wakimwambia akiendelea kuwa mnene hvi ana kufa .so ndo ana struggle ku loose weight, na yeye hawezi kukaa, kugeuke waka kutikisa kiungo chchte bila kusaidiwa na haez toka kitandani, lakin ndo ana pigana hvo asikufa

Atakuwa alisha kufa huyu!!
 
Number 3, Jon Brower Minnoch,kg 399 This is Jon Brower Minnoch (1941 - 1983) of Bainbridge Island, WA. He was 6 ft. 1 in. tall, and was estimated as weighing "probably more than" 1400 lbs. in 1979, at which point it took 13 people just to roll him over in bed. Minnoch, like many of the heaviest people, suffered from massive edema; his weight was augmented by at least 900 lbs. of fluid at its peak.
The former taxi driver had always been unusually heavy, reaching 400 lbs. in 1963, 700 lbs. in 1966, and 975 lbs. in 1976, but he claimed to have been handicapped, in no way, by his size until a 500-calorie diet sapped his muscular strength and left him on the brink of death. At his peak in 1978, Jon Brower Minnoch tipped the scales at an estimated 635 kilograms, or 1397 pounds, or if you prefer, 100 stone.
He passed away on on September 10, 1983 weighing 362 kilograms or 796 pounds. Minnoch was the father of two children by his 110-lb wife, Jeannette.
 
unaweza ukaitafuta k ya hawa mademu wabonge kianzia asubuhi mpaka jioni na wala usiipate.

Nawaza tu kwa sauti
 
Number 1, Mayra Rosales, kilo 518 huyu ni wa huko Texas, sasa huyu aliwahi kushinda mpaka kesi iliyo kuwa ina mkabili kwani jaji alisema ni mnene mnoo hvo hawez kuua

Mwaka 2008, alifunguliwa kesi ya kumuua binamu yake , lakini jaji alipo mchunguza alitoa hukumu kuwa 'this woman is too big to kill’. Kwa kuwa ana uzito mkubwa kias haez nyanyua mkono wake mwenyew tena kiasi cha ku mdhuru mtuu, kwa kuwa ni mzito sana jaji aka amuru kuwa hana kesi ya kujibu
 
Tatizo huyu dogo anakula sanaa
 
Hivi huyu ana mke kweli???
 
Ana umri gani mtoto wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…