Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahaMi Clinton mume wala sikuwa namkubali
Na huyu mkewe nae atasubiri sana
Nilimpenda sana Clinton sanaa
Obama wa 08 nilimkubali, ila baada ya hapo tuuu
Nikahama had democrat
Now nawapenda Republicans (jwa sasa, japo hawana nguvu)
Hasa baada ya kupitia pitia na historia pia