Watu na mabunge yao1973 - Bunge la Chile lapiga kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Salvador Allende.
Bunge liliadhimia Rais ajiuzulu ili kupisha uchaguzi mpya, vinginevyo wangetumia nguvu kumuondoa.
Happy birthday Federico1991 - Federico Macheda anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya Italy.
Shukrani sana kwa historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa 88k, sina la ziada.
Karibu JJ kwa magazeti.
Byeee....
Leo katika Historia:
1902 - Kampuni ya magari ya Cadillac yaanzishwa huko Marekani.
Walianza zamani wenzetu...sie huku bongo tunatamba na Vitsi tuLeo katika Historia:
1902 - Kampuni ya magari ya Cadillac yaanzishwa huko Marekani.
Walifariki wengi sana[emoji15][emoji15]. R.I.P1961 - Ida Siekmann anafariki alipojaribu kuvuka ukuta wa Berlin.
1959 - Althea Gibson anakiwa mchezaji wa kwanza mweusi kushindana katika mchezi wa Tennis katika nyanja ya kimataifa.
Hata mimi nimejiuliza hilo... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikuwa anaenda wapi na yeye??
Imagine mpaka amekufaHata mimi nimejiuliza hilo... [emoji23] [emoji23] [emoji23]