Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Weee Bush baby alikuwa rais mzuriHahaha
Watu wazuri tuu kina bush
Wachunguze
Japo hawakufaniliwa kuwa marais wazuri
Kwa hisani ya kichwa cha Osama
Weee Bush baby alikuwa rais mzuriHahaha
Watu wazuri tuu kina bush
Wachunguze
Japo hawakufaniliwa kuwa marais wazuri
Timu USATimu Israel. ( Mossad )
Nite CuzzoNalala
Nakuachia 89kKalale sasa. Najua umenilipa ile ya jana ya 87k
Kimahesabu ni baadae tu.Kesho
AsanteniKesho
Na kwenu piaUsiku mwema
Hukuupata kimakosaUnafikiri uwenyekiti nilipata kienyeji?
Basi mi ntamuachia ankali Shululu hiyoNakuachia 89k
Hivi kwanini kiswahili tunasoma saa kinyume??Kimahesabu ni baadae tu.
CiaoUsiku Mwema Wakuu...
Tchaooo
HahahaAlijitahidi kiasi chake...ila unadhani kwanini amekuwa Rais wa kipindi kimoja?
HahahaIla haki ingetendeka huyu jamaa alipaswa awe ICC
HahahaWeee Bush baby alikuwa rais mzuri
Kwa hisani ya kichwa cha Osama
HeeeHivi kwanini kiswahili tunasoma saa kinyume??
Asante sanaHahaha
92 elections zlikuwa ngumu
Republicans walikuwa washaa kaa mika 12 ikulu, 8 ya Reagan 4 ya daddy Bush
Sasa sera za Ragana za ki uchumi zilimfaidisha sana yeye mwenyewe wakati wa uongozi wake 80-88
Lakin ndio hzo zli sababisha mtikisiko wa uchumi wa 1991-92 kwa kuwa huo ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi moja kwa moja Bush alikuwa ana shndwa
Sasa japo alifanya kaz kubwa kwenye foreign affairs lakin Cold war ilikuwa imesha isha so watu hata hawakujali
Pia uwepo wa handsome clinton ulizid kumuua Bush hasa kwa wanawake vijana ambao ndo wapiga kura
Na kuna mgombea wa 3 ambaye alikomba kura za daddy bush
Aaah yaan mkuu hapo nahtaji muda mrefu ila baadhi ndo hzo
Mi Clinton mume wala sikuwa namkubaliHahaha
Ki uchumi ndo ali feli
Japo mimi nna jua sera za Clinton ndo zmewafelisha wa amerika na si za bushi
Hasa NAFTA na TPP
AnhaaaAsante sana
Uwe unatupia kidogo kidogo mpaka tumalize
Mfano 07:00 hatusemi seven tunasema saa mojaHeee
Kivip