HahahaMi Clinton mume wala sikuwa namkubali
Na huyu mkewe nae atasubiri sana
HaaaaMfano 07:00 hatusemi seven tunasema saa moja
#TeamTrumpHahaha
Nilimpenda sana Clinton sanaa
Obama wa 08 nilimkubali, ila baada ya hapo tuuu
Nikahama had democrat
Now nawapenda Republicans (jwa sasa, japo hawana nguvu)
Hasa baada ya kupitia pitia na historia pia
Mi pia nazifatilia siasa za Marekani kwa ukaribu sanaAnhaaa
Sawa mi nkajua dikteta ndo ana zipenda zaid hzo
Kumbe hata wewe
Hahaha#TeamTrump
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We si ulishaaga lakini??
Ndio maana una akiliMi pia nazifatilia siasa za Marekani kwa ukaribu sana
Hehehe beauty with brain[emoji3]Ndio maana una akili
Yes thts u my luvHehehe beauty with brain[emoji3]
Kesho nikumbushe tuanzie hapo.Haaaa
Bado sha elewa
U tuuKesho nikumbushe tuanzie hapo.
Usiku mwema my binamu
Kumbe Cadillac ya zamaniLeo katika Historia:
1902 - Kampuni ya magari ya Cadillac yaanzishwa huko Marekani.
Duuu1959 - Althea Gibson anakiwa mchezaji wa kwanza mweusi kushindana katika mchezi wa Tennis katika nyanja ya kimataifa.
Alikuwa anaenda wapi na yeye??1961 - Ida Siekmann anafariki alipojaribu kuvuka ukuta wa Berlin.