Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani kaacha kula pensheni anataka ale kick
Samtaimu kuna mazee mapumbavu kumzidi mbuzi
Ndio maana niliwahi kuandika DONGO KWA WAZEE hapa CC
.............
aisee kumbe ndiyo hivi...basi uzee kazi!!
itabidi wazee tuwe na sehemu yetu hapa, btw uzee hata kwako utakuja tu...jiandae vizuri unaweza usiwe hata na uwezo wa kuandika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom