Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
Mwambie aweke picha.
HahahaHahah kwanini umesema hivyo mkuu?
Kibabu kinasaka kick badala ha pensheniNaona ooeresheni Ukuta imeanz
hapa jukwaani...
Mi maswala ya kuitana itana majina kama tuko shule au kwenye bendi ndo siyataki.Its ok then...
Kwani niliwahi kukukosea wapi?
How comes u hate someone with no any reason? Au ni kwasababu ni mzee? We unadhani utakuwa kijana miaka yako yote? Au unadhani ujana wangi sikujamiika vya kutosha?
hahaha...babu kutengua hana maajbuKibabu kinasaka kick badala ha pensheni
![]()
![]()
![]()
...........
Mbona huwa ana asema hapa mara nyingi tuu, ujue mi huwa na nyamaza tuu ila unavo mfanyia siyo kabsa.Kakwambia namsumbua?
Ni sheederNaona operesheni Ukuta imeanz
hapa jukwaani...
ha ha ha ha ha...Mi maswala ya kuitana itana majina kama tuko shule au kwenye bendi ndo siyataki.
Kama huna neno la kusema kalale
Kuhusu uzee it's your problem not mine
Yaani kaacha kula pensheni anataka ale kickhahaha...babu kutengua hana maajbu
Pamoja Mkuu.Hahaha
Uko vzuri kwenye hzo mambo
Nakuheshim kwa hilo
That's why I love uMbona huwa ana asema hapa mara nyingi tuu, ujue mi huwa na nyamaza tuu ila unavo mfanyia siyo kabsa.
Mtu unajua kabsa msg zako tuu zna mkera, unakuwa mstaarabu una sepa kimya kimya

Yaani kaacha kula pensheni anataka ale kick
Samtaimu kuna mazee mapumbavu kumzidi mbuzi
Ndio maana niliwahi kuandika DONGO KWA WAZEE hapa CC
.............

Finally huwa inasumbua sanaYaani kaacha kula pensheni anataka ale kick
Samtaimu kuna mazee mapumbavu kumzidi mbuzi
Ndio maana niliwahi kuandika DONGO KWA WAZEE hapa CC
.............
Kigiriki ndo kinatumika kwenye misamiati ACTUS REAS,AUDI ALTERAM PATTEN ,CAUSA SUA n.kLaw Wana lugha ngumu sana Hawa Jamaa
sawa kanso.Kigiriki ndo kinatumika kwenye misamiati ACTUS REAS,AUDI ALTERAM PATTEN ,CAUSA SUA n.k
.......
Hiyo sasa ni balaaaKigiriki ndo kinatumika kwenye misamiati ACTUS REAS,AUDI ALTERAM PATTEN ,CAUSA SUA n.k
.......