Lee alimjua aliyempa misheni. Katika uhalisia wa kawaida, Lee alihaidiwa angelindwa. Lakini kumuua Rais sio jambo la kawaida, hivyo kwa maslahi ya Taifa, lazima Lee angeuwawa tu maana hata kama angefichwa na kulindwa iko siku tu angeropoka.
Ipo
Conspiracy = means agreement btn two people or more to do a lawful act or unlawful act for unlawful means
Simply ni kula njama
.....................
Its ok then...
Kwani niliwahi kukukosea wapi?
How comes u hate someone with no any reason? Au ni kwasababu ni mzee? We unadhani utakuwa kijana miaka yako yote? Au unadhani ujana wangi sikujamiika vya kutosha?