Makapuku Forum

Uko very informed
Si wezi kusema freemason ila kuna wale ma don walo shikilia nchi ndo alijifanya ana wapinga
Sasa we mtu aligombana na CIA, FBI na financial moguls woote
Ki ujumla alibaki hana mtetezi
 
Nadhani lee wali andaa naye mauaji lakin
Wakamgeuka kumfanya awe scapegoat
Mwishon ndo atakuwa alijua kiwa amekuwa abandoned
Lee alimjua aliyempa misheni. Katika uhalisia wa kawaida, Lee alihaidiwa angelindwa. Lakini kumuua Rais sio jambo la kawaida, hivyo kwa maslahi ya Taifa, lazima Lee angeuwawa tu maana hata kama angefichwa na kulindwa iko siku tu angeropoka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…