Makapuku Forum


Japo hiyo wana iitaga conapiracy ila mimi ki ukweli nlishawishika mweer!!

Hata ike ripot ya tume ya Warrren sku iamini
Ripoti ya Jaji Warren ilikuwa ni ya kupikwa tu.

Eti wakahitimisha kuwa muuaji wa JFK ni Lee Harvey Oswald peke yake.

Mpaka kesho sijawahi kuamini. Kuna nadharia nyingine inasema Bosi wa FBI nae alihusika.
 

Muda mchache kabla hawajamfanyizia....

Mauaji Jimena anaogopa yalitisha
............
 
Na kuna wanaodai ati kauawa na Freemanson...
, maana mwishoni alikuwa hatii tena sheria zao alikuwa anawaexpose sana wakati wale ni "Secret society" gusa unase ukiingia hutoki labda wakuue...maana teyari unakuwa umeshatoa kiapo cha damu na roho kwa ku bind na sheria zao kuwa pet wao kufanya lolote wanalokuagiza...ila jamaa dakika za mwisho alikuwa anawa expose kidizain ile mbaya kwenye mahojiano yake mbalimbali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…