Makapuku Forum

Lyndon B. Johnson kwa kiasi kikubwa sana anapewa shutuma za kumuua JFK na inasemekana alimfanyia faulo za wazi hata RFK asiingie kwenye sytem kwani mambo yangejulikana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Japo hiyo wana iitaga conapiracy ila mimi ki ukweli nlishawishika mweer!!

Hata ile ripot ya tume ya Warrren sku iamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…