Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Roho hainiumi sana sababu.. i felt humiliated infront of other Kapukuz... nisikitike nini...i even regret gave all myself to you!!! ...Unamdanganya nani wakati ulishamwibia jimena tayari!
Unaona kumbe hukuwa na upendo wowote kwangu, umeachika kidogo tayari unasaka vidume kwa spidi wala hujaskitika
Jirani Shululu you see....!!? this man aaaarghhhh....Hahaha dodoma naenda kuwekeza tu, mambo yangu huyawezi nawe ni shahidi, ntaendelea kuwa juu, na wajua vyema mimi ndo sukari yenu, ukiondoka akikatiza mrembo nimtakae sec namdaka
Sasa hiyo ya Jimenna bado in progress....fitna yote MteraUnamdanganya nani wakati ulishamwibia jimena tayari!
Unaona kumbe hukuwa na upendo wowote kwangu, umeachika kidogo tayari unasaka vidume kwa spidi wala hujaskitika
Hilo ni tatizo la biblia sasa not meMaana wale mabinti wa Sodoma na Gomora walivyombaka baba yao alikuwa kalewa tangu hapo ikaonekana kileo hakifai tena. Biblia kuna maeneo inajikosoa yenyewe pia
Sio tatizo lako hapo wangu...ni Bible sasaHilo ni tatizo la biblia sasa not me
Morning sweetiepieMorning wapendwa wote!!
Morning ankaliMorning, za wewe
Umeamkaje Jimenna??Morning sweetiepie
Morning ankali
Hasaa kama aliyesababisha ukaachwa ye bado ako na mapenzi tele kwa bebi wakeKuachwa kuachwaa...kuachwa ni shughuli pevu....wewe unakonda...yeye ananenepaa...wewe unakonda yeye ananenepaa kwa mawazo oh kwa mawazoo....
Hahahahaha in reality hiyo inauma sana aiseeHasaa kama aliyesababisha ukaachwa ye bado ako na mapenzi tele kwa bebi wake
Hakuweza banaaaUnamdanganya nani wakati ulishamwibia jimena tayari!
Unaona kumbe hukuwa na upendo wowote kwangu, umeachika kidogo tayari unasaka vidume kwa spidi wala hujaskitika
Niko poa kabisa na hivi punde tu magazeti ya leo yatakuwa hewaniUmeamkaje Jimenna??
CheersCheers then
Hahaha hebu edit hapo haraka dadanguRoho hainiumi sana sababu...last night you really humiliated me talking rubbish infront of other Kapukuz...ulinivua nguo zote! nisikitike nini wewe...Good for nothing man (now i realize that)...i even regret gave all myself to you!!! utanikumbuka sana tu nakwambia...
Leta mambo...tujue yaliyojiri maana wengine sisi hatununuagi magazetiNiko poa kabisa na hivi punde tu magazeti ya leo yatakuwa hewani
Maneno makali sana hayo nimeandika...Ntaedit kakaHahaha hebu edit hapo haraka dadangu