MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Dodoma bado haujajengwa sana kuweza kutoa huduma zote kama Dar Es salaam.Kivipi??
Mi huyo jamaa namkubali sanaaUmenikumbusha mbali sana.
Nilikuwa na Album hiyo inaitwa THE LIFE.
Kitambo sana, Good Music.
Hapa sasa ndio nimekupata vizuri kabisaDodoma bado haujajengwa sana kuweza kutoa huduma zote kama Dar Es salaam.
Vyanzo vya maji ni changamoto sana,ni chumvi kwa wingi.
Kuna Mzee moja Balozi alisema walifikiria hadi kuweka Balozi yao Iringa kwasababu iko Jirani na Dom na masaa machache tu kusafiri. Sasa sijui wameishia wapi.
Meanwhile Dodoma Inatengenezwa huduma nyngi mbadala zitafuatwa Iringa.
AaaahKwa kuvaa tu na kuvua inawezekana lakini hata bongo
Ni sahihi kabisaDodoma bado haujajengwa sana kuweza kutoa huduma zote kama Dar Es salaam.
Vyanzo vya maji ni changamoto sana,ni chumvi kwa wingi.
Kuna Mzee moja Balozi alisema walifikiria hadi kuweka Balozi yao Iringa kwasababu iko Jirani na Dom na masaa machache tu kusafiri. Sasa sijui wameishia wapi.
Meanwhile Dodoma Inatengenezwa huduma nyngi mbadala zitafuatwa Iringa.
HahahaNani tena huyo aliekusumbua?? Sitaki kuamini ya kuwa binamu ananichezea faulo
Mbona mi huwa navaa nguo nyeupe naenda nazo hadi mabibo Beach??Aaaah
We bongo hapa labda uwe high class sana swt
Aaaah
We bongo hapa labda uwe high class sana swt
How deep is ur luv!!?How deep is your love
Hapa sasa ndio nimekupata vizuri kabisa
Yaan nakomaa tuuHahaha...basi kashapata ujumbe hapo
HahahahaHao imani zao ni haba
Mkuu ina onekana un jitambua kama Dr SlaaUmenikumbusha mbali sana.
Nilikuwa na Album hiyo inaitwa THE LIFE.
Kitambo sana, Good Music.
Miuu yaan iringa twapata faida ya moja kwa moja hata prezda alsha sema hloPale tunasubiria wakubwa waseme kwanza,
halafu unajua Iringa utakuwa mji mkubwa sana?
Yuko vzuri hapa kila weekend anatupa vitu kama hviiI remember 80's and 90's.
Kuna moja unaitwa I love you more everyday.
My baby bro anaupenda sana, hivi umeweka nyimbo hizi nimekumbuka nyumbani ghafla.
AaaaaNgoja tumsubirie Briz ili tupange kwa pamoja tuweke rekodi nyingine mpya
Yaani ni hatari...basi utakumbuka sanaa maana bado zingine kali sana ntazileta kesho.I remember 80's and 90's.
Kuna moja unaitwa I love you more everyday.
My baby bro anaupenda sana, hivi umeweka nyimbo hizi nimekumbuka nyumbani ghafla.
Maelezo safiiiDodoma bado haujajengwa sana kuweza kutoa huduma zote kama Dar Es salaam.
Vyanzo vya maji ni changamoto sana,ni chumvi kwa wingi.
Kuna Mzee moja Balozi alisema walifikiria hadi kuweka Balozi yao Iringa kwasababu iko Jirani na Dom na masaa machache tu kusafiri. Sasa sijui wameishia wapi.
Meanwhile Dodoma Inatengenezwa huduma nyngi mbadala zitafuatwa Iringa.
Yuko vzuri hapa kila weekend anatupa vitu kama hvii
Hehehee