Makapuku Forum

Keith Douglas Crier alizaliwa July 22, 1961 Harlem, Newyork Marekani. Mama yake akiitwa Juanita (Mtengeneza nywele) na Charles Crier mfanyakazi wa kiwandani ( Alifariki 1973), Keith anaimba muziki miondoko ya R&B na Soul, ni mwamdishi, prodyuza, muigizaji na muandaaji wa vipindi binafsi redioni...kabla hajaanza muziki alikuwa akifanya kazi katika commodities Market katika Newyork Merchantile Exchange, Alikuwa akiimba kwenye night clubs huko NY city mpaaka hapo alipogundulika kipaji chake na akapata ofa ya mkataba wa kurekodi na Elektra records mwaka 1987, 1991 alikuwa nominated kama muimbaji wa kiume wa pekee wa R&B, mwaka 1997 alikuwa mwanamuziki bora wa kiume, 1997 alikuwa ni mwanamuziki wa kipekee mwenye album ya Soul, mwaka 2013 alipata tuzo ya Soultrain life time. Ntaweka na vibao vyake viwili ambavyo viliwahi na pengine vinaendelea kukonga nyoyo za wapenzi wa Oldies na Old skuls.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…