Kitakuja sasa hiviKuna kijamaa wakishindaga ni shiiiida....full update ,picha + uchambuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....................
Kwavile wamerudishaKitakuja sasa hivi
Binam ake amerudiiiiiiiiii!!!!![emoji38][emoji38][emoji120][emoji120][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu mbona una updetia watu hawapo!!?
Haaaa[emoji28]Binam ake amerudiiiiiiiiii!!!!![emoji38][emoji38][emoji120][emoji120]
CC: Jimenna
Wakija si watayakuta[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu mbona una updetia watu hawapo!!?
Jamani...[emoji126][emoji276] maana tangu juzi.Haaaa[emoji28]
Seme tuu ulinimiss bhana, acha kumsingizia binamu
Nlikimiss pia
duuuh!![emoji125]Jamani...[emoji126][emoji276] maana tangu juzi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wakija si watayakuta
Kwani yatafutika.....kumbuka thread inafuatiliwa hadi na vingongo sema wanapitaga kimyakimya.......kazi yangu wkt wa mpira kuleta update siyo stori
Kesho sina cha kureport EPL vimechi mbuzi tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.................
Forum ilikuwa inasumbua tangu jana...sidhani kama imezirwa.duuuh!![emoji125]
Si sku mbili tuu hzi
Halafu mbona forum mme izira, nini mashida!!?
[emoji28]
Tutafunga shule siku utakayokufa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Aaah nimeona msg kama buku zako tuuu
Au shule imefungwa!!?
HahahahaTutafunga shule siku utakayokufa
Kumbuka leo week end...thread kawaida hupoa from Friday to Sunday
.........