Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
AaaahForum ilikuwa inasumbua tangu jana...sidhani kama imezirwa.
Afadhali upo
Kwa hiyo we jana hukugusa umu!!?
AaaahForum ilikuwa inasumbua tangu jana...sidhani kama imezirwa.
Makamu wa kwanza na wa pili wanajulikana.....ht tusipokuwepo. Wote lakini UFOUNDER utabaki vilevile tu......wengine wataendeleza tulipoishiaHahahaha
Weee mie sifi
Nasubir ufe ili ni rithi u prezda
AaaahMakamu wa kwanza na wa pili wanajulikana.....ht tusipokuwepo. Wote lakini UFOUNDER utabaki vilevile tu......wengine wataendeleza tulipoishia
..............
Mhh nilipita tu na like chache mtandao ulivyosumbua ndio ikawa basi tena.Aaaah
Afadhali upo
Kwa hiyo we jana hukugusa umu!!?
I missed old is ever goldMhh nilipita tu na like chache mtandao ulivyosumbua ndio ikawa basi tena.
Pindua tu lkn jina langu litaishi labda thread ifutweAaaah
Ukisha fariki huna chako
Ntapindua mambo
Wee muongo akat ulimuulizia asubuhi.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nimemnunia
Haaaa![]()
Seme tuu ulinimiss bhana, acha kumsingizia binamu
Nlikimiss pia

JJ kaja tayariJimena![]()
Shululu
Werrason
Mussolin
Quigley
Briz
Attendance ina onesha wamepotea hawa
Kumbe Bitoz anasoma![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaah nimeona msg kama buku zako tuuu
Au shule imefungwa!!?

Ohooooo....
HahahaPindua tu lkn jina langu litaishi labda thread ifutwe
![]()
![]()
![]()
![]()
..... ............
Usiwe km mzee AkilimaliHahaha
Aaah
We subiri ntafanya kama anavo lalamikaga mzee mudi kuwa historia imepindishwa
Hehehehe, afadhali uminiambiaWee muongo akat ulimuulizia asubuhi.