Duh ubabe katika ubora wake [emoji4][emoji4]Leo katika Historia:
2008 - Rais Pervez Musharaf wa Pakistan, analazimishwa kujiuzulu wadhifa wa Urais wa nchi hiyo.
Licha ya kuwa Rais, pia alikuwa ni Jenerali katika Jeshi la Nchi hiyo.
Hujambo sweetie?Poyee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana!Huko Unaweza ukawa Rais hata kwa siku mbili.
Sijambo Briz, uko poa?Hujambo sweetie?
Leo katika Historia:
1962 - Felipe Calderon anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 56 wa Mexico.
Morning, naona uko vizuri sana leoMorning JJ!!
Alijitahidi sana, ila kimbembe ni hilojina lake la kwanza.Aliweka vizuri sana uchumi wa Namibia
AmenAmekufa katika kupigania haki...Mungu amrehemu
Kipunye
Niko poa sanaSijambo Briz, uko poa?
Honorable Punye...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliingia kichwa kichwa.Huyo jamaa alikua haijui vizuri nguvu ya taita Pablo sio?
Watu wanajitambua.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana!
Good!!Niko poa sana
Alijitahidi sana, ila kimbembe ni hilojina lake la kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani mko interested zaid na hiyo 'punye'
Ndio leo niko vizuriMorning, naona uko vizuri sana leo
SafiiiiMambo zenu?
Hii salamu inawahusu ke tu.
Sawaaaaaaa?
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Leo katika Historia:
1980 - Esteban Cambiasso anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan, Leicester City na timu ya taifa ya Argentina.
Anajulikana zaidi kwa staili yake ya Kipara.
Katika Kombe la Dunia mwaka 2006, Cambiasso alifunga goli dhidi ya Serbia, goli hilo lilitokana na idadi ya pasi 23 bila kuguswa na mchezaji wa Serbia.
Chezea wazee wa sembe, hao jamaa wanawaza mara moja tu hawapendi kukosea mishe zao kabisaAliingia kichwa kichwa.
Na alipewa nafasi kubwa ya kushinda.
Ghafla uhai wake ukakatishwa na watu wa Pablo.