Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Morning!!Good morning all
Asante kwa kutuletea magazeti ya leo...
Morning Valentina!Morning guys...
Morning too mrembo, maandalizi ya w/end yakojeMorning Valentina!
Jamani...pole Steve BLeo katika Historia:
1977 - Steve Biko anakamatwa na Polisi huko Afrika Kusini.
Anateswa na baadae kupoteza maisha.
Lazma huyo Pablo anahusika maana ni Mysterious sana hicho kifoLeo katika Historia:
1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.
Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.
Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfabyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.
Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
R.I.P Stevie B
Hee Mexico ndo marais wengi hivyo!?Leo katika Historia:
1962 - Felipe Calderon anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 56 wa Mexico.
Huko Unaweza ukawa Rais hata kwa siku mbili.Hee Mexico ndo marais wengi hivyo!?
Hi madame JJGood morning all
MorningMorning guys...
Waapi! mi sina ratiba maalum...suala lolote litakalokuja weekend nimoo...maana kwa sasa niko free.Morning too mrembo, maandalizi ya w/end yakoje
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Apumzike kwa amani.Jamani...pole Steve B
Hahaha ndio maanaHuko Unaweza ukawa Rais hata kwa siku mbili.
Morning JJ!!Hi madame JJ
hahahah...kweli.
Amekufa katika kupigania haki...Mungu amrehemuApumzike kwa amani.
Leo katika Historia:
1935 - Hifikepunye Pohamba anazaliwa.
Ni Rais wa pili wa Namibia.
Huyo jamaa alikua haijui vizuri nguvu ya taita Pablo sio?Leo katika Historia:
1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.
Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.
Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfabyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.
Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.