Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.

Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.

Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfabyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.

Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
 
Leo katika Historia:

1933 - Just Fontaine anazaliwa.

Ni straika wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa.

Anashikilia rekodi ya kufunga magoli 13 katika michezo 6 aliyocheza ya kombe la Dunia, katika michuano iliyofanyika pale Sweden mwaka 1958.

Alishiriki kombe la Dunia mara moja na Kufunga goli 13. Ni rekodi ya pekee.
 
Nadhani hii ni ajali mbaya zaidi iliyoua wengi kuwahi kutokea...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…