Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Shululi ni mkwe ana jua kabsa kunamtu ana tuvurugaKuwa shululu ni timu nani
Shululi ni mkwe ana jua kabsa kunamtu ana tuvurugaKuwa shululu ni timu nani
Haha jamaa kakomba supporters woteKuwa shululu ni timu nani
Sema watu na juhudi na vipaji vyaoWatu na bahati zao
Na Ballon D'or kila mwaka
![]()
![]()
![]()
.......
HahahaaImani zako tu
Ingekuwa hivyo tungeshabeba world cup X 10
..........
...........

Mi sja kushindwa badoBasi tufanye kuwa hujakosea kitu ila tu nimeshindwa mimi
Anaetuvuruga ni nani?? Tunajivuruga wenyewe tuShululi ni mkwe ana jua kabsa kunamtu ana tuvuruga
Labda ya no, lakini siyo ya matunguli ya kibongoHahahaa
Mkuu kuna misumari mikali ya kiakilia
![]()
Supporters kwan haya ni mashindano!!?Haha jamaa kakomba supporters wote

Sema watu na juhudi na vipaji vyao
Bahati ht Simba haipati
........
kweliAnaetuvuruga ni nani?? Tunajivuruga wenyewe tu

Timu yake inakuwa siku hadi sikuHaha jamaa kakomba supporters wote
Ni mbio za vijiti, imefika mahali unatakiwa unikabidhi kijitiSupporters kwan haya ni mashindano!!?
![]()





Mi nakaaga sana kijijini kwetu nalala Nyumba haina ht dirisha bila hofu.......km una matendo mabaya ndo utaanza kutojiamini na kuamini uchawiuchawiHahahaa
Mkuu kuna misumari mikali ya kiakilia
![]()
Skuona kama kuna haja hiyoAnd u didn't bother to tell
Mchawi jr ndo nan!!?Mi nakaaga sana kijijini kwetu nalala Nyumba haina ht dirisha bila hofu.......km una magendo mabaya ndo utaanza kutojiamini na kuamini uchawiuchawi
Mi ht Mchawi Jr nimeonana nae face to face wala sikuogopa stori zake zile.
..........
Sasa umejuaSkuona kama kuna haja hiyo
So nkajua akuko na mataabu yyte ile
NaonaTimu yake inakuwa siku hadi siku
Km hujaelewa mezeaMchawi jr ndo nan!!?