Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nikafanye nini huko mimiNenda klabuni utapata majibu murua kabisaaa

Machungu tenaMwenzako anamachungu...hee
R I PNUKUU NO 1#
Watu Hawa waliotuangamiza kwa karne nyingi leo wanatutukana tunapofanya makosa.
Wakati mwingine huwa najiuliza iwapo vorster (Balthazar Vorster aliyekuwa Rais wa Africa kusini),Smith (Ian Smith -aliyekuwa waziri mkuu wa Rhodesia kusini sasa Zambia) na Caetano wa Ureno (Marcelo Caetano alikuwa waziri mkuu wa Ureno)
Pamoja na wenzao wanamwabudu Mungu tunayemwabudi sisi. Wanawezaje? Haiwezekani "
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Zambia, Dk.keneth Kaunda, September 9,1972 mjini dar es salaam alipokuwa akihutubia kikao cha kufunga mkutano wa nane wa wakuu wa nchi za Africa mashariki na Kati.
Kaunda alizaliwa April 28, 1924
Mtaka cha uvunguni sharti uinameNikafanye nini huko mimi
Amemdediketia binam kha!Machungu tena
Hvi shululu ulikiepo !!?NUKUU NO 1#
Watu Hawa waliotuangamiza kwa karne nyingi leo wanatutukana tunapofanya makosa.
Wakati mwingine huwa najiuliza iwapo vorster (Balthazar Vorster aliyekuwa Rais wa Africa kusini),Smith (Ian Smith -aliyekuwa waziri mkuu wa Rhodesia kusini sasa Zambia) na Caetano wa Ureno (Marcelo Caetano alikuwa waziri mkuu wa Ureno)
Pamoja na wenzao wanamwabudu Mungu tunayemwabudi sisi. Wanawezaje? Haiwezekani "
Haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Zambia, Dk.keneth Kaunda, September 9,1972 mjini dar es salaam alipokuwa akihutubia kikao cha kufunga mkutano wa nane wa wakuu wa nchi za Africa mashariki na Kati.
Kaunda alizaliwa April 28, 1924
BinamuAmemdediketia binam kha!
hahaha...kwani mimi nimeulizia matokeo ya Yanga?Nawe tuache Yanga yetu![]()
![]()
![]()
Mi huwa naenda you tube nashare video kisha naileta hapaHii kupost video Ndo inakuaje aisee
Hebu nielekeze haya maujanja![]()
![]()
![]()
![]()
Hata wakongwe!!!
HaaaAmemdediketia binam kha!
NdioBinamu
Hebu niache aisee hahahahahahaha...kwani mimi nimeulizia matokeo ya Yanga?
Ngoja nijaribuMi huwa naenda you tube nashare video kisha naileta hapa
Ka ushare sehem ili upate link then kopi, then ulete hapaHebu nielekeze haya maujanja