Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Ilikuwa ukivuka ndo kifa kwakoLeo katika Historia:
1962 - Peter Fechter anapigwa risasi na kuuwawa na walinzi alipojaribu kuvuka ukuta mpya wa Berlin.
Ilikuwa ukivuka ndo kifa kwakoLeo katika Historia:
1962 - Peter Fechter anapigwa risasi na kuuwawa na walinzi alipojaribu kuvuka ukuta mpya wa Berlin.
MweeerLeo katika Historia:
1962 - Compact Disc " CD " za kwanza zaanza kusambazwa mtaani huko Ujerumani.
Monica alikuwa mzuri lakin mweer!!Leo katika Historia:
1998 - Rais Bill Clinton wa Marekani anakiri kupitia tepu zilizorekodiwa kuwa, alikuwa na uhusiano na Monica Lewinsky, mfanyakazi wa ikulu ya Nchi hiyo.
HahahaMonica alikuwa mrembo sanaaaaa
AaahLeo katika Historia:
2008 - Michael Phelps anakuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda medali 8 za dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya 2008.
Em weka picha tuoneMonica alikuwa mzuri lakin mweer!!
Tulisoma naye uyuLeo katika Historia:
1844 - Mfalme Manelik II azaliwa.
Alikuwa ni mfalme wa Ethiopia.
ChogoLeo katika Historia:
1977 - Thierry Henry anazaliwa.
Ni mchezaji wa wa zamani wa Arsenal, Barcelona na Ufaransa.
Ni mchezaji bora zaidi wa Kigeni kuwahi kucheza EPL.
Lucian Gallas wa simbaLeo katika Historia:
1977 - William Gallas anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Chelsea, Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
How comes u just think lyk meHappy birthday Chogo![]()
![]()
![]()
Hatumjui uyuLeo katika Historia:
1980 - Daniel Guiza anazaliwa.
Straika wa zamani wa Getafe, Mallorca na Timu ya taifa ya Hispania.
Alishinda ubingwa wa Euro 2008.
Leo katika Historia:
1982 - Phil Jagielka anazaliwa.
Ni beki wa Everton na timu ya taifa ya England.

Gold ndo 23,
Jamaa alikuwa ana chinja watu huyu daaah!!Leo katika Historia:
1988 - Jihadi John anazaliwa.
Alikuwa ni mwanachama wa kundi hatari la kigaidi la ISIS.
Alifariki mwaka 2015.
Na uzee ule heheheheHillary naye atamtosa bill wakiwa white house?
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee Akilimali, tukutane kesho.
Mie nge vumiliaMi pia sijawahi kumlaumu na sitakuja kumlaumu... Nani angevumilia pale??
Mi pia sijawahi kumlaumu na sitakuja kumlaumu... Nani angevumilia pale??
Lakin wakuu mbona baada ya hapo watu walikuwa hawamtaki tena au ndo waligeuka ma sir elton wa amerika woteLabda uwe Sir Elton