Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Si unajua Wajerumani walivyo na roho nzuri?
..........
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Si unajua Wajerumani walivyo na roho nzuri?
Sasa hivi yupo Ndanda KucheleLucian Gallas wa simba
Alicheza Euro ya 2008 akiwa sub wa Torres.Hatumjui uyu
Fix za townWeka japo kapicha
Duuuh aibuWabongo hatuna ht medali ya bati tView attachment 383144View attachment 383145angu kina Bayi wastaafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Alichepuka na Marilyn Monroe, mrembo wa miaka hiyo.Wana chepukaga tuu na JFK ndo alikuwa mchepukaj maarufu kuliko wote
Sio mbaya.View attachment 383150kindege kipya chatua
...............
hahaha...Fix za town
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Haha we umeiona mwaka gan mkuu, maana miaka ya 90 computer nyingi kibongobongo zilikua ni pentium 2 kushuka chini na memory ilikua bado ni tapeWenzenu kitambo sana
Kuliko ht kukaa uchiDuuuh aibu
Cha kuzugiaSio mbaya.
Unatukarisha gahwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji22] [emoji477]
Timu yenyewe ni wahindi tupu utafikiri timu ya taifa ya india [emoji3][emoji3]Sie tuna waogeleaji uchwara
Mimi nilikulia mitaa ya Stockholm hivyo pata picha mwenyeweHaha we umeiona mwaka gan mkuu, maana miaka ya 90 computer nyingi kibongobongo zilikua ni pentium 2 kushuka chini na memory ilikua bado ni tape
Kuelekea ChatleCha kuzugia
Tripu ya kwanza dikteta uchwara atapanda mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
[emoji23] [emoji56] [emoji23] [emoji56] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Timu yenyewe ni wahindi tupu utafikiri timu ya taifa ya india [emoji3][emoji3]
Gabacholi wa kutosha....Timu yenyewe ni wahindi tupu utafikiri timu ya taifa ya india [emoji3][emoji3]
Chato International AirportKuelekea Chatle
Uko vizuri sana.Wataelewa tu mwaka huu, pamoja na heading kuwa na herufi ndogo ila uzito wake uko pale pale
tit for tatKweli kabisa, Pm haendi mtu..... Ni hapa hapa mpaka kieleweke