shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ndiyo hiyoNa uzee ule hehehehe
Ndiyo hiyoNa uzee ule hehehehe
Haha hapo sawa mana mi nakumbuka kuna jamaa mtaani alikua na pentium 2 lakin aliwah kuvamiwa mpaka na majambazi, Tz tumechelewa sanaMimi nilikulia mitaa ya Stockholm hivyo pata picha mwenyewe
Kashfa ilimuharibia sana. Pia alikuwa monitored na vyombo vya usalama ili asiweze kutoa siri za ikulu.Lakin wakuu mbona baada ya hapo watu walikuwa hawamtaki tena au ndo waligeuka ma sir elton wa amerika wote
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Timu yenyewe ni wahindi tupu utafikiri timu ya taifa ya india [emoji3][emoji3]
weka pichaOyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa utashangaa inatembea miaka mitano tu afu inakua kama ile nyingine [emoji23][emoji23]View attachment 383150kindege kipya chatua
...............
Tumewapoteza vibaya.Kwenye Top 20 tunafanya vizuri sana kipengele hiki
Mambo ya CIA ....sio airport ya ChatoKashfa ilimuharibia sana. Pia alikuwa monitored na vyombo vya usalama ili asiweze kutoa siri za ikulu.
Amen...Ndugu Makapuku,
Malalamiko yenu kuhusu suala la Likes na mengineyo yanafanyiwa kazi. Hii ni changamoto ya JF nzima kwa sasa.
Na niwakumbushe tu, hizi harakati za 'Ukapuku' ziwe ni kwa nia njema na msisahau kuzingatia Sheria za JF.
Nawatakia kila la heri.
Weka picha.Makapuku hatari sana, mpaka sasa likes za prezidaaa wa makapuku zinasomeka 2,019.
Makapuku oyeeeee.
Wabongo watapakiza hadi nyumbu wasafirisheSasa utashangaa inatembea miaka mitano tu afu inakua kama ile nyingine [emoji23][emoji23]
Mke wangu uyoBila shaka mtakua ndugu nyie [emoji4]
hahaha...eti CIAChato International Airport
(CIA) Wasukuma kwa kutaka sifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Akili mali ndo habar ya townHaha kwan imekuaje tena?
Lakini mkuu ni Stockholm ya hapo Kasulu.Haha hapo sawa mana mi nakumbuka kuna jamaa mtaani alikua na pentium 2 lakin aliwah kuvamiwa mpaka na majambazi, Tz tumechelewa sana
Miaka mitano mbona mingi?Sasa utashangaa inatembea miaka mitano tu afu inakua kama ile nyingine [emoji23][emoji23]
EeehSi unajua Wajerumani walivyo na roho nzuri?
Hao ndio wenye weledi na majukumu yao.Mambo ya CIA ....sio airport ya Chato
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Huyo ni NSIMAMIZI WA JUKWAAAmen...
HahahaSie tuna waogeleaji uchwara