Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 5, Makalu – mita 8,485 View attachment 382821huu uko huko Nepal na kwa miaka mingi hakuwahi mtu hata mmoja kujaribu kupanda, na mwaka 1954 ndio kwa mara ya kwanza kuna watu walijarbu kuupanda lakin waka shndwa, sas mwaka 1955 mimi tukiwa Lionel Terray na Jean Couzy wa ufaransa msafara uliongozwa na Jean Franco. Sasa kama unavo ona mlima umekaa kama una kipiramidi hvi upande mmoja hiko wakaz wa huko hukiabudu kama alama mojawapo ya kiimani kwao
Lol
 
Number 3, Kanchendzonga – mita 8,586
1471374646589.jpg
wengine wana uita mlima Kanchenjunga, sasa huu ndo mlima mrefu kuliko yote India, wana sema mlima huu una vilele vitani tofauti na vyote vime fikia mita 8400, wana dai kuwa mlima huo juu unaweza kuwa una dhahabu na au madini mengine lakin ni ngumu kiya chimba kwa kuwa ni parefu na pia ndio mlima ambao uhalisia wake haupotei
Asee nlivo enda kwa huu mlima nilipiga selfie nyingi sana ni pazuri kwa kufanya hivo

No picha ita tumwa hapa tafadhal
 
Number 4, Lhotse – mita 8,516 View attachment 382827huu ulipandwa na binadam kwa mara ya kwanza mwaka 1956 na mswis Ernst Reiss
Sasa huo mlima kuna sehem unapandaaa halaf kina bonde unashuka mita 8000 tena chini kabla ya kuendelea safari sasa kama ndo afya yako ya mafua mafua kama sweetie unafia kwa njia hiyo
Huu nimetamani sana kuupanda
 
Number 2, K2 – mita 8,611
1471375030194.jpg

Haya sasa japo sja wasomesha nawatumiia ki inglish hapa kama ilivo
" The mountain was first surveyed by a European survey team in 1856. Ever since, it remained a fascination, because of the difficulty of its climbing and the numerous deaths that occured. Still, contrary to popular belief, it doesn’t have the highest mortality rate (stay tuned with the feed for that story in a couple of days); it’s just the image that the media has created. But don’t think it’s not dangerous! It’s reaaaaally dangerous! (really, it is!) Just not the most in the world; in the pic it’s enveloped in mist, and stands without its usual sheath of ice and snow in the Karakoram summer."
 
Number 1, Everest – mita 8848
1471375174584.jpg
sidhani kama wakuu mtakuwa hamjuila everest huo utakuwa uhuni sasa huwa wana uita
Chomolungma (=Goddess Mother of the Earth) au Sagarmatha (=Goddess of the Sky)
Mtu wa kwanza kupanda mlima huo ni ......

Achen hzo mna mjua sana
 
Number 3, Kanchendzonga – mita 8,586 View attachment 382831 wengine wana uita mlima Kanchenjunga, sasa huu ndo mlima mrefu kuliko yote India, wana sema mlima huu una vilele vitani tofauti na vyote vime fikia mita 8400, wana dai kuwa mlima huo juu unaweza kuwa una dhahabu na au madini mengine lakin ni ngumu kiya chimba kwa kuwa ni parefu na pia ndio mlima ambao uhalisia wake haupotei
Asee nlivo enda kwa huu mlima nilipiga selfie nyingi sana ni pazuri kwa kufanya hivo

No picha ita tumwa hapa tafadhal
Weka hizo selfie
 
Number 2, K2 – mita 8,611 View attachment 382833
Haya sasa japo sja wasomesha nawatumiia ki inglish hapa kama ilivo
" The mountain was first surveyed by a European survey team in 1856. Ever since, it remained a fascination, because of the difficulty of its climbing and the numerous deaths that occured. Still, contrary to popular belief, it doesn’t have the highest mortality rate (stay tuned with the feed for that story in a couple of days); it’s just the image that the media has created. But don’t think it’s not dangerous! It’s reaaaaally dangerous! (really, it is!) Just not the most in the world; in the pic it’s enveloped in mist, and stands without its usual sheath of ice and snow in the Karakoram summer."
kwa ras simba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom