Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Basi tu sikupenda kukaa sana class japo pepa sikuwa na masiharaUnachoshwa na nini kwa mfano???
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
.........
Basi tu sikupenda kukaa sana class japo pepa sikuwa na masiharaUnachoshwa na nini kwa mfano???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Jaman leo naomba mnisamehe
Top 10,zme shindikana
Alaf mpenzi jua kuna mtu aumwa asa si vzuri[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
Nsha msemeaHapana....nilikuwa na kanaimamo sipelekwipelekwi kiboya....mfano siku nimechoka siwezi lazimishwa kwenda shule.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
..............
AaahNi kweli dar Kuna nuka, wewe pita kwa mtogole, bonde la mkwajuni na jangwani
Pole pia umishinda na sim toka mornie ni kawaida hyoMafua makali sana sijui ni ya ndege? nimejikaza kuangalia simu kwa muda japo mwanga unaumiza macho. [emoji124] [emoji124]
Huwezi kuzuia kupendwa...unaweza kuzuia kuliwa tu
Oya za kupotea!!?Hata kwa msingi samtaimu nilikaza akizungua
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
..........
Sikupenda uboyaNsha msemea
Ilikuwa aende kutembelea mbuga ya SerengetiAaah
Nilskia alisema kuna nuka alaf akarud kwa ndege
Mie ndo nsha msemeaLakini ye hakusema
Nasumbuliwa na kahoma week sasa sema nawapenda Kapukuz hivyo huwa najitahidi nisipoteeOya za kupotea!!?
Japo ulifanya la maana kupumzika
Pole sana kakaNasumbuliwa na kahoma week sasa sema nawapenda Kapukuz hivyo huwa najitahidi nisipotee
Sasa kuna kamsiba ndo kamenizidishia homa nikapumzika kabisa
...........
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Pole sana kaka
Kariiibuuuu
SeenMie ndo nsha msemea
Pole sana, ndio maana sijakuona kwenye nukuuNasumbuliwa na kahoma week sasa sema nawapenda Kapukuz hivyo huwa najitahidi nisipotee
Sasa kuna kamsiba ndo kamenizidishia homa nikapumzika kabisa
...........
I luv u Jimena wanguSeen
Get well soon bitozNasumbuliwa na kahoma week sasa sema nawapenda Kapukuz hivyo huwa najitahidi nisipotee
Sasa kuna kamsiba ndo kamenizidishia homa nikapumzika kabisa
...........