shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Vita vya panzi fahari ya.............................................Sasa utalipizaje? Niko interested hapa![]()
Vita vya panzi fahari ya.............................................Sasa utalipizaje? Niko interested hapa![]()
mapema sanaUsiku mwema guys kadr muda unasonga hali yangu ni tete...
Nimechoka kwa kweliNdo ushangae sasa, sisi tumeshinda nae hapa hatujui
Haha hauko mbali na ukweli lakinVita vya panzi fahari ya.............................................
We mjanjaWajinga ndio waliwao
Mimi tangu utotoni kauzu sinaga "NDIO MZEE" za kiboya
![]()
![]()
![]()
![]()
........
sawa no ziara, mbona kala shati la kijani na suruali nyeusi sare za Lumumba? ( Utani )Hapana ile ni ziara tu
![]()
![]()
![]()
![]()
............
SweetiepieDoh! nan huyo?
Mafua makali sana sijui ni ya ndege? nimejikaza kuangalia simu kwa muda japo mwanga unaumiza macho.Ndo ushangae sasa, sisi tumeshinda nae hapa hatujui

Aisee!Sweetiepie
Sema nini..... Bepari una maono sanaKumbe MJ alikuwa CCM
Huwezi kuzuia kupendwa...unaweza kuzuia kuliwa tuMkuuu
Mke wa mtu uyo
duuhChunguza vizuri miguu yake alivyoweka
Mafua yananitesa.mapema sana