Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,232
- 39,961
Nani huyo na amifanyani?Mahakama ya Mafisadi imuhusu.
Nani huyo na amifanyani?Mahakama ya Mafisadi imuhusu.
Ehehehe
Tulifanya uchaguzi mdogo wa sisi timu Weka pichaJimena kuna nini huku????
cc JimenaNani huyo na amifanyani?
Vichwa wa afrika hawaNUKUU NO 2#
Ndoto za kuwa na Africa isiyo na ukabila haimaanishi kutokuwa na tofauti za kikabila katika Bara la Africa wala kifo cha kawaida cha kabila za asili za Africa.
Tofauti za utamaduni na lugha ni utajiri iliorithi kutoka kwa wahenga wake.
Changamoto imekuwa ni jinsi kutunza utajiri huo bila kuchochea migogoro ya kikabila na kutetelesha utaifa
Haya ni maneno kutoka kwa Profesa mashuhuri Alli Mazrui katika kitabu kinachoitwa "Julius Nyerere Africa's Titan on a global stage"
Kilichoandikwa na Profesa Mazrui pamoja na Lindah L Mhando, chini ya mada "post -Tribal Nyerere to post -Racial Obama: Comparative vision in political Leadership
Hahahah mtunza kumbukumbu ni katibuMweka hazina awe Shululu
Mkongo awe mtunza kumbukumbu
Mpe salamu pia, kwani we uko a town??Niko poa, manuu yuko hapa anakusalimuuu
Nukuu ya leo imeletwa kwenu kwa hisani ya sweetiepie, tangu asubuhi yupo KF
Mpeni mtunza kumbukumbuMie ya mtunza kumbukumbu itanifaa...![]()
![]()
Pamoja sana mkwe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Big up swt p
Ahsante mkwe
We ulipenda awe wapi??Hadie sweetiepie ako uko!!?
Umesahau tena? Yes niko a town kwasasaMpe salamu pia, kwani we uko a town??
Apumzike kwa amaniyap, trna mwaka huu mwanzoni.
MhhhhhIli kundi la picha ni vema ujitoe tubak tim no picha
Team no pichaMussolin5 mwenyekiti
Jimena Katibu
Bado muweka hazina na mtunza kumbukumbu
Cc shululu
Sweetiepie
Na werrason
R I PR.I.P Profesa Mazrui
Britney mi pia nimem miss sana
Huwa naona kwa sasa yuko busy kidogo na malezi maana boys wetu wamekuwa wakubwa sasa,
Anafanya show pia japo sio sana
