Mkuu uko on time sana, hongera, ikiwa uko panctual kwa kazi zako hiv, bila shaka uko juu sanaView attachment 382261WEST HAM XI
..............
Haha Mungu ni mwema sanaUmekua magufuli, unaweza sema kwelu na Mungu asikupende
Wanaweka History then wanatuletea sisi huku tunazisoma tu...kujifurahisha na kuumia roho...wako vizur aiseeWao ni kuweka history Duniani tu
AnakujaHawezi huu mchezo, mujinga yeye
HakikaKuna watu wanaponda raha huko duniani..
Kitu 'shida' kwao ni lugha ya kigeni.. Full bata batua..
Sasa ye hatumii nguvu tena, kashapendwa [emoji85][emoji85][emoji3]Hawezi huu mchezo, mujinga yeye
[emoji8]Jamani kaaaka [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mbuga za wanyama zenyewe tayari wanazoNaona wanataka kuihamishia bahari kule jangwani [emoji23][emoji23] na wakifanikiwa labda watakuja kuununua na mlima kilimanjaro wauhamishie kwao.. Hela tamu sana
Nna waacha hapa na vibe ya ki harusi harusi
Adious amigoo
Aje tuoneAnakuja
Haha naskia wamejenga na uwanja wa ndege kabisa pande hizoMbuga za wanyama zenyewe tayari wanazo
Na wakija kuuomba huku waununue? watapewa tu mbona kiroho safiiNaona wanataka kuihamishia bahari kule jangwani [emoji23][emoji23] na wakifanikiwa labda watakuja kuununua na mlima kilimanjaro wauhamishie kwao.. Hela tamu sana
Nani amupende tapeli la kongo[emoji15]Sasa ye hatumii nguvu tena, kashapendwa [emoji85][emoji85][emoji3]
Sory leo zime prolong sanaNasubiri hapa Mdogo Mdogo
Pamoja sana mkuuAhsanteni kwa sapot wakuu
Nawaaminia woote
Mlikuwa na mimi Szczesny Carrenza
Kaka hiyo "s"sijaielelwa hapoI love you my s
HahahaSijui Naya kinje itakuwepo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ngojaa aje uone atakavyokupeperushia ndegeNani amupende tapeli la kongo[emoji15]
Briz wa michombezo...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ye hatumii nguvu tena, kashapendwa [emoji85][emoji85][emoji3]