Number 2, Vanisha Mittal na Amit Bhatia – usd 60 Million
View attachment 382254mwaka 2004, wageni waalikwa kwanza walipewa kadi kwenye box ya silver(pure silver), waliwekwa kwenyw hoteli ya nyota tano na wali kaa kwa siku 5 kwani harusi hii ilichukua siku sita, na pia badala ya wao kuwapa zawadi maharusi, wao waalikwa ndio walipewa zawadi kila mtu kidani(jewl) cha thamani alicho kitaka na cha aina yyte
Harusi ilifanyika chateau, Palace of Versailles, wageni walikuwa 1000 na walilipiwa nauli za ndege kutoka popte walipo mpaka ufaransa, mwana muziki Kyle Mingue alikodiwa kwa siku zote sita na alitumbuiza kwa kila tukio, pia mnara wa eiffel (eiffel tower) ulikodiwa kutoka kwa serikali ya jiji ka Paris kwa ajili ya upigaji wa mafataki, wataalam wana sema gharama zina weza kuwa zili zidi sana tuu