Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Na wewe ndio unataka nife kwa presha kakaake?Haha unaulizia makofi polisi!
Na wewe ndio unataka nife kwa presha kakaake?Haha unaulizia makofi polisi!
Iringa ni baridi aiseeeeHabari za iringa
Nafurahi kusikia hivyoNiko poa mrembo...
Hehehe alafu we hujatulia bhana umejuaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimemuona 123 my wii jaman [emoji8][emoji8][emoji8]
Mbona presha juu kakaaa....[emoji23] [emoji23]Amaizing,,,unataarifa za patience123?
Kwa nini akuue kwa pressureNa wewe ndio unataka nife kwa presha kakaake?
Nipo bebiake patience..Mpenzi upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji179]
Nilikuwa huko mwezi wa 7,kulikuwa na baridi balaaIringa ni baridi aiseeee
Mmhhhh
Ndo maana kuna movie flani hivi inaitwa.. Why did i get married? inahusika sana ile.Khaaaaa.. Saa 72[emoji15] [emoji15]
Ila Saizi inapungua kidogo.. Mchana unaweza toka Bila swetaNilikuwa huko mwezi wa 7,kulikuwa na baridi balaa
Eti QUIGLEY anataka kuchepuka..Kwa nini akuue kwa pressure
Nimejua tu maana ameingia tu...moyo wako ukaanza kudunda hatari...unajing'ata kunitambulisha mie ndugu yako [emoji85]Hehehe alafu we hujatulia bhana umejuaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wangu anasema... Sometime ili anirushie roho..Hawezi kuchepuka, mtu anayechepuka huwa hasemi [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Safi sana kaka...hawakuruhusu tupicha?[emoji3]Number 4, Prince William na Kate Middleton – usd 34 Million View attachment 382246hii ilikuwa ni harusi ya mjukuu wa malikia na mtoto wa princess Diana, ilioneshwa live kwenye kila televishen kubwa na wageni waalikwa walikuwa 1900 na kwa sababu ni harusi ya kitaifa protokali zilikuwa nyingi sana siku hiyo kwa kuwa na mie nlienda
Saaafi....Nipo bebiake patience..
Kwakweliii..Ndo maana kuna movie flani hivi inaitwa.. Why did i get married? inahusika sana ile.
Mimi ndiye huwa naufanya moyo wake uende mbioo..Mbona presha juu kakaaa....[emoji23] [emoji23]
Hapana, nliogopa kukujoin hapa jukwaani, ungekuja tungecheza wote mana mi mzuka huwa unapanda binti mzuri ukidance mbele yangu[emoji4] [emoji4]Briz...vipi jana uliienjoy ile dance?